Ya leo kikaoni usiku pale Utemini

Unaangaika bure. Samia siasa za mabavu na visasi haziwezi. Kama mnataka kuona anguko lake basi endeleeni kumdanganya awatumie hao watu wenu ambao hawawezi kufanya siasa bila kutumia polisi na vyombo vingine vya dola. Hao watu mnaowataka ni wasanii tu na wanapenda kujimwambafy bila mikakati. Huyo jpm mwenyewe, kama hasingetumia mabavu, wizi, uporaji wa kura na tume ya hovyo ya uchaguzi, Sasa hivi CCM ingekuwa chama cha upinzani. Ni wajinga wachache tu waliokuwa wakishabikia matendo ya hovyo ya kipindi hicho.
 
Una nyuzi ngapi ulizotoa maendeleo chanya?
 
Kasi kasi
 
CCM imetengeneza vijana takataka!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…