Ya Leo haya

Hawa wabunge wakati mwingine wanatucheleweshea mambo yetu, sioni wanachokifanya Bungeni zaidi ya kula posho za makalio tu.
Halafu huyu Maalim Seif mwaka jana si alisema baada ya muda mfupi atakuwa Rais au alimaanisha 2020..?
 
Wewe utaamini wabunge wanashindia uji na ubuyu kwa kukosa chakula??
 
Kwani hao wabunge wameanza leo kuongea upumbavu wao mimi sioni hata haja ya kuwa na wabunge njaa kama hawa wanaangalia tu matumbo yao Pumbavu zenu wabunge wote wa bunge la Tanzania hamjitambui hata kidogo akili hamna
 
Mna roho mbaya yani ile habari ya Bongolala kuandamana na Bashite mmepotezea kuandika kwenye magazeti [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duuu hakuna habari ya bongolala kweli waandishi wamekomaa kiutendaji na kiufundi asanteni sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…