ya kweli haya jamani? wanawake jiandaeni kuwa lonely

Dah tuliokua addicted na football inabidi tuchukue likizo mapema other wise ni kugombana tu na bosi!! 2010 Can't wait!!
wenzio wanagombana na wifey wewe na bosi tena? au my wife wako naye addicted?ngoma itakuwa droo.
 
Heheheheheeee.Kazi ipo,kumbe Mariarosa kawakumba wengi kweli,nilizani biggy wako anatania.

kwa maria roza mi siendagi biggy ananichimbaga mikwara bana afu uanjua kuangalia mabo yale na bro hailipi kabisa sio heshima

hii ni self learning mamaaa!!! trust me hahaaaa lol!!!

all in all Bala mpira utaangalia nyumbani tu laaziz........
 
Aah jamani mpira acheni tu jamani, wakati niko mdogo nilikuwa nawahi kiwanjani saa nane kusubiri wenzangu waje tucheze, km nipo shule lzm ikifika saa tisa na nusu vipindi vikiisha ni uwanjani mpaka saa kumi na mbili ndo nakumbuka kuna nyumbani. ikitokea kuna kipindi mwl wake hayupo, tunatokea dirishani breki ya kwanza uwanjani hiyo ni primary. secondary timu ya shule kila saa saba uwanjani mpaka saa tisa, nikitoka hapo home, ikifika kumi na moja chama langu la mtaani enzi hizo ligi daraja la tatu, mwenyewe mido nnatisha. kwa kweli wake zetu mtuwie radhi ile motto ya coca cola ya eat futbol drink futbol msidhani masikhara, watu tunapenda mpira wacha, msosi weka kando huko. mama watoto wangu hawezi angalia tv peke yake km nipo home, sasa ikifika siku kuna mechi nakimbilia room kuangalia mechi kwenye ka tv kangu ka jicho moja nawaachia wao waangalie tamthilia zao, hawezi kaa peke yake lzm anifuate room, maskini atasinzia hapo mwenzie nafaudu soccer yeye ataulizia bd tu haujaisha. kuna kipindi flani kwenye tv kilikuwa kinaitwa futball mundial, wana msemo wao soccer the game we love kweli i love football
 
kwa maria roza mi siendagi biggy ananichimbaga mikwara bana afu uanjua kuangalia mabo yale na bro hailipi kabisa sio heshima

hii ni self learning mamaaa!!! trust me hahaaaa lol!!!

all in all Bala mpira utaangalia nyumbani tu laaziz........
Haya mama ,i'll come for consultation.Don wore about tuition fee,Biggy wako atado ze nidfull.
btw ngoja turudi kwenye mada.Itabidi ununue big screen uweke nyumbani na akina fidel and company wote waje hapo kumpa kampani B aiende chawote.
 
mmh wahamishie valuu nyumbani kwetu??
plasma tv ipo ila kuwaalika biggy and kamapani unless umenihakikishia u-sober wao!!!
 
ha ha ha familia yote ni football.......
Una bahati sana.wengine sie itabidi tununue TV nyingine kuepuka mgongano wa maslahi.Wengine wanapenda Tamthilia na wengine wanataka Mpira.sasa sikilizia kashehe yake kwenye TV moja.
 
Ha ha ha haaa, hiyo ndiyo real tension ya world cup tuombe salama na ndoa zetu. Wengine ndio naenda kuangalia na washkaji mechi ya usiku kumbe ndio kona kali!!
 
mmh wahamishie valuu nyumbani kwetu??
plasma tv ipo ila kuwaalika biggy and kamapani unless umenihakikishia u-sober wao!!!
Hii kitu ngumu kuhakikisha isipokuwa kwa neema ya Mungu.Itabidi uwazoee jinsi walivyo.
 
Ha ha ha haaa, hiyo ndiyo real tension ya world cup tuombe salama na ndoa zetu. Wengine ndio naenda kuangalia na washkaji mechi ya usiku kumbe ndio kona kali!!
hili ndo latia mashaka haswaaaaaaaaaaaaa
 
Una bahati sana.wengine sie itabidi tununue TV nyingine kuepuka mgongano wa maslahi.Wengine wanapenda Tamthilia na wengine wanataka Mpira.sasa sikilizia kashehe yake kwenye TV moja.
you better. bila hivo ndani mtakua mnanuniana kila siku bila sababu.
 
Ha ha ha haaa, hiyo ndiyo real tension ya world cup tuombe salama na ndoa zetu. Wengine ndio naenda kuangalia na washkaji mechi ya usiku kumbe ndio kona kali!!
Jayfour usiwatie wasiwasi wenzako... hizo kona akitaka kwenda ataenda tuu hata kama hakuna mechi... au ataenda hata mchana sio lazima usiku...
lakini naona watu wanaover-react with all this world cup thing...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom