ya kweli haya jamani? wanawake jiandaeni kuwa lonely

Afadhali wengine loneliness inakuwepo mwezi mmoja tu wa world cup. Kuna wenzenu wake zao ni addicts wa yale maigizo mlolongo yasiyoisha ya kwenye luninga, wenyewe wanaita series, wanafuatilia hadi series 4 kila siku! Kuna mshkaji kaniambia amefanikiwa ku-date nyumba ndogo 3 kwa mpigo, na mawasiliano yote alikuwa anayafanya katika muda ule ule ambao mkewe yuko bize na 'series' au 'soap opera' zake!
 
hii kweli aisee, yale madude ni very addictive, thank God siku hizi nimekombolewa kutoka kwenye utumwa ule, i mean i can decide to watch or not to. but before it was a must aisee, yani hata kama nina nite out naweza kutoka mkuku mida ile ikifika.
 
naamini uliyaanza kuyachangamkia hayo 'madude' baada ya kuolewa, maana ungeyaanza kabla nakuhakikishia usingepata hata huo muda wa 'courtship'. Sasa nakupa assignment, fanya uchunguzi kidogo kuhusu mambo aliyokuwa anayafanya mumeo wakati huo ulipokuwa busy na 'series' zako.
 
Hii kali mbona...bahati yangu Mr mtarajiwa hana habari na soccer ....sasa hapo honeymoon mpaka july...tutatokezea tu for the finals!!! wuuuuuhooooooo!!!!
 
Mrembo Carmel hiyo ni kweli kabisa wakati wa kombe la Dunia, lakini Mama naye akiwa ni mpenzi wa soka basi halitaharibika neno maana mtakuwa pamoja tena kwa karibu sana kama timu mnazoshangiilia wote ni hizo hizo. Hapa Jukwaani naona wapenzi wa Soka ambao ni akina Mama kule kwenye jukwaa letu ni BJ na First lady tu labda kuanzia sasa hadi June 11 idadi hii itaongezeka na kufikia at least double digits :)
 
Back
Top Bottom