Ya Kibiti ni uhuni usiokubalika

Ya Kibiti ni uhuni usiokubalika

Naamini mrejesho atauleta akiwa kuzimu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha, Nimeshaanza kuogopa, lakini sio sana!! Lakini bado nasisitiza kuwa ni wapuuzi, hata mtoto akilia bila kusema sababu kwanini analia ni sarahisi sana kumuongeza viboko au kumfinya.
 
Siku zote na mara zote watu wanaofanya mauaji kama yanayofanywa kule Mkurunga, Kibiti na Rufiji huwa wanaweka madai yao hadharani ili wahususika ndani na nje ya nchi wayajue kama yanavyofanya makundi mengine duniani kote.

Sasa hawa wa Kibiti hawana wanachoeleza wala kudai hadharani kwa kutuma ujumbe popote pale duniani ili dunia iyafahamu madai yao.

Hawa ni watu ambao wanastahili kusiginwa hadi tone lao la mwisho kama ikiwezekana. Hakuna mtu hata mmoja wa habari anayefahamu hasa nini chanzo cha mauaji yao ili ama waungwe mkono au walaumie na jamii ya kitaifa na kimataifa.

Wanachofanya wao ni uharibifu wa rasilimali zetu (watu, pesa, muda na vitu) k..ipu..mbavu tu. Pesa zinazotumika kulitatua tatizo zingesaidia kulipia mikopo ya shule ya watoto wetu, lakini ona, zinatumika kijinga kabisa. Sio wa Kibiti tu wanaoathirika bali nchi nzima.
nadhani wanawasubiri muwaombe poo kwanza. inavyoonekana kadri mnavyojifanya wababe, nao wanafanya yao.
haya mambo yanahitaji busara zaidi.
 
Back
Top Bottom