swagazetu
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 4,253
- 1,475
Wanajamvi leo naomba tujiulize na kusaidiana je hakuna madhara ya jeshi letu kuonesha wazi mbinu na vifaa vyao mbele ya hadhara ya raia na maadui ?
Sote tunajua kuwa kuna mgogoro wa Tanzania na nchi kama Rwanda,Malawi na wengine tusiowajua je tunajiamini nini? Rais Joice Banda na Yoweri museveni wameshuhudia uchi wa jwtz je hawajanoti kitu chochote! Na ikumbukwe kuwa Tbc inarusha matangazo karibu dunia nzima na kimsingi huwezui jua adui anakuja lini na anatokea wapi sasa leo tumejiamini,nani atalipa ghalama ya kuanika jeshi letu?
Tumekuwa tangu wadogo tukijua kuwa maswala ya ndani ya jwtz hayajadiliwi waa kusemwa ovyo ndiyo maana raia haruhusiwi kuingua ivyo kwenye Makambi yao kwa sababuvya usiri na unyeti wa jwtz yenyewe.sasa leo kila raia anaweza kusimulia na bahati mbaya zana nzito zimeoneshwa na kupigwabpicha na watu waliotaka nani atabeba madhara yanayoweza kujitokeza.
Na je nini lilikuwa lengo mahususi kulianika jeshi?