.GREAT THINKERS should never take any thing from forum members(like gama) but from gaigin et al
nimeuliza kama source ni Gama tu kwa sababu ulisema wewe 'umenusa' tu hiyo habari, na nnavyo amini habari ya kunuswa tu kutoka sehemu isitumike kama ushahidi kwenye hukumu.
nilidhani ungerudi hapa na kukubali kuwa hukupaswa kunukuliwa katika hukumu, kumbe ndo kwanza unataka ujiko!
ujiko?!, ujiko janvini?!, toka jana ungeliambia jamvi kuwa kilichosemwa hapa ni true au c true (with evidence) mjadala ungekuwa umeisha- wewe ndo unatafuta ujiko kwa kuchoooooooooooooooooonga saaaaaaaaaaaaaaana.
Hutaipata maana jamaa alimfuta mara moja kwenye friends list yake. Labda ngoja nimtafutekwenye googleMtanisamehe jamani lakini nilifungua link ya hii habari ili nijue undani wa hili tukio la Mh. Makamba Jr...lakini chga kusikitisha nimeambulia malumbalo ya "GREAT THINKERS" na nimetoka patupu...
Ushauri wangu ni kuwa tuvumiliane na tuwe na staha...hakuna aliye kamili humu duniani,ukiona mwenzio kakosea angalau lugha za kista arabu za zenye staha zitumike ili mwisho wa siku sisi wenye upea nadra tupate ujumbe ambao muanzishaji wa mada alidhamiria tuupate...
Wacha nianze kuvuja jasho kutafuta hiyo thread ya "Lisa Rockerfella"...
umeguswa eeh???Mi nakwambia hivi vipaji tungevitumia katika uandishi wa riwaya labda kina Elvis Musiba wangekuwapo wengi tu.
Kila kitu siasa siku hizi, na kila kitu game.
Tacky. Just tacky. Unresearched misinformation is just so tacky.
If you want to misinform us at least give us some researched misinformation that borders on the truth so we can get a challenge to figure out, not this weak fluff.
This is insulting people's intelligence. But perhaps we have some genuine arachnids and molluscs up in here, so excuse some of these invertebrates for their slowness.
siyo lazima nifanye utakavyo wewe,
umeguswa eeh???
kama weye sio mhusika nipe mji
Matusi? Matusi si nature yangu, ila kuna weakherts fulani kama wewe hata ukiwaambia "Hello, how are you doing?" watamaka mbona yule kanisalimia kwa mkazo sana, ananibeza nini.
Kuwaita slopokes slopokes si matusi, ni kusema ukweli tu.
Hahahaha U re very right dude some ppl cant aasume the role of great thinker even for few seconds before they do their postings
Otherwise I like the way u can play arround with this english language.though sometime i need to make friendhship with a dictionary
umeguswa eeh???
kama weye sio mhusika nipe mji
ITAKUWA NI KAMA KENYA WALIVYO MPITISHA UHURU KENYATTA KILICHOFUATA NI KANU KUANGUKA:nono:Aiseh, yaani hapo kwenye red kama ni kweli basi sisi CHADEMA ndio furaha yetu manake tutashinda urais kwa ulaiiiiiini. Hayo mengine achana nayo, habari za Lisa na JM tulishazijadili hapa.
Sijakumaliza vizuri,ok jazba pembeni sema ukweli hili swala ni kweli?Mi nakwambia hivi vipaji tungevitumia katika uandishi wa riwaya labda kina Elvis Musiba wangekuwapo wengi tu.
Kila kitu siasa siku hizi, na kila kitu game.
Tacky. Just tacky. Unresearched misinformation is just so tacky.
If you want to misinform us at least give us some researched misinformation that borders on the truth so we can get a challenge to figure out, not this weak fluff.
This is insulting people's intelligence. But perhaps we have some genuine arachnids and molluscs up in here, so excuse some of these invertebrates for their slowness.