ya dereva hiyo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ya dereva hiyo!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by sugi, Apr 21, 2012.

 1. s

  sugi JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  bibi mmoja mkazi wa mbagala baada ya watu kugombea basi kama kawa,bibi aliingia na kupata siti.....kwa furaha alijikuta anatoa machozi,konda akamuuliza"bibi mbona unalia?"bibi:nimekaa mbagala miaka 30 sijawahi kupata siti,leo ni miujiza!"konda:"bibi hiyo siti ni ya dereva"
   
Loading...