Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,640
- 164,788
- Thread starter
- #21
Kichwa cha habari kimejaa KUFURU na DHIHAKA KUU Dhidi ya Mungu wa mbinguni!
Sema umeguswa tu!
Kichwa cha habari kimejaa KUFURU na DHIHAKA KUU Dhidi ya Mungu wa mbinguni!
Huu ni ujumbe kwa wapiga kura na watanzania wanaotafuta vyama vya kujiunga navyo baina ya CHADEMA na CCM.
Ukichagua ufisadi,wizi,ubadhirifu,uonevu,mauaji ya rai,kutozwa kodi za line ya simu,PAYE kandamizi, n.k basi rafiki yako ni Kaisari anaefanana na CCM na hivyo unapaswa kuchagua CCM.
Lakini kama wewe ni mtu wa kutetea wanyonge,kupinga dhuluma,uonevu,wizi,ufisadi na hata kupinga kodi ambazo ni mzigo kwa mwananchi hakika wewe ni kipenzi cha mungu na hivyo unastahili kuwa upande wa CHADEMA.
Tafakari ndugu!
Vipi kuhusu kumwagia watu tindikali, kulisha watu sumu, kujilipua mabomu na kulegeza nati za tairi za magari ya watu??
hasante sana mkuu na maneno hayo yatumike popote pale kabla ya kuanza mkutano ifikapo 2015 naomba namba zako za simu
Mkuu nashukuru sana ila kuhusu namba za simu najiuliza usije ukawa ni member wa TISS.Hawa jamaa si wa kucheka nao hata kidogo.
basi acha iwe kama utakavyo lakini hizo ndio ziwe salamu zetu kabla ya kuanza mkutamo
Ruzuku tu inawashinda kuweka wazi Mahesabu yake,mutaweza kuongoza nchi.
CHADEMA wizi wenu ni NEXT LEVEL, hamuachi kitu, mpaka wake za watu!