XXL CLOUDS mnanipa utamu sana leo..

XXL CLOUDS mnanipa utamu sana leo..

kanyela mumo

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
2,034
Reaction score
2,124
Nasikiaaa utaaaaaamu rahaaa the people station

Haya ndio mambo Maraia wa brand kubwa tunataka kuyanyakwise pisee mndanise



Ule uleeee kata kiuno kata kata... mweeeeeeh..!

Ukichora sifuri unapoanzia ndio unapo malizia.

Big up XXL...
 
Dah...hayo madongo hakika jamaa wameamua kuingia vitani rasmi.
Nina miaka mingi sijaisikiliza hii radio, Leo nilitaka kusikia reaction yao baada ya msimamo wa Sizonje. Hadi nyimbo za akina kigeugeu ndani, naona nayo Sasa wanadai vyeti.
Nasikia kuna kitu alikiongea kibonde last week nasubiri nimsikie Leo ataongea nini...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom