Mwasita Moja
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,903
- 2,580
Neema za magufuli hizi
kwa hiyo bongo hatuna marasterman mkuu..!!?Rasta bongo?
Nimeiona hii picha FB... ila sikufikiria, sikukumbuka wala sikuona kama jamaa ni rasta... Kweli akili yangu inazeeeka!
Bangi nzuri ila hawa jamaa ndio wanafanya ionekane mbayaSerikali isije ruhusu bangi hata siku moja mana itakuwa shida
ndo ali-conclude ivo..?kama ulimsikia lucky dube
Page yake hii hapa...Facebook page gani mkuu nimfuate huko huko nikamkomeshe.
Viatu vya Afande baba moja mama mbalimbali
swali zuri sana mkuu alafu waulize kama simba anakula majani?Hivi hawa marasta ile chata ya Simba huwa ina maana gani?
Simba ni yule ambaye anapatikana katika bendera ya Ethiopiaswali zuri sana mkuu alafu waulize kama simba anakula majani?
nyota yake ni ya simbaila afande sele na fid q wanautani sana na raster zao
Kwa EdoFacebook page gani mkuu nimfuate huko huko nikamkomeshe.