Xmas yangu ya leo!!!

umenikumbusha msuli wa advance unafunika huo ugali na blanketi kabisa unakuja kula saaa sita usiku!
Shikamoo science
 
Wewe unadharau hilo dish, lakini kaa ukijua kwamba hapa tanzania kipindi hiki cha mwaka huu unaoisha, kuna watu wanatafuta huo ugali na maharage na hawapati.
Kwa hiyo mkuu hata hiyo ngozi yako inayong'aa mwaka unaokuja lazima ipauke?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…