Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,925
- 95,582
Umesoma shule gani mkuu?dah umenikumbusha maisha ya shule za boarding
Wewe unadharau hilo dish, lakini kaa ukijua kwamba hapa tanzania kipindi hiki cha mwaka huu unaoisha, kuna watu wanatafuta huo ugali na maharage na hawapati.
Kwa hiyo mkuu hata hiyo ngozi yako inayong'aa mwaka unaokuja lazima ipauke?Wewe unadharau hilo dish, lakini kaa ukijua kwamba hapa tanzania kipindi hiki cha mwaka huu unaoisha, kuna watu wanatafuta huo ugali na maharage na hawapati.
shule moja hiv inaitwa st. matthews iko kongowe/mbagalaUmesoma shule gani mkuu?