BiMkubwa JF-Expert Member Joined Jan 9, 2007 Posts 529 Reaction score 98 Dec 27, 2008 #2 Hivi kweli Kristo alizaliwa mioyoni mwao??ππ±
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,103 Reaction score 136,762 Dec 27, 2008 #3 Huyu demu wa kwanza kulia alivyovaa hivyo na joto la bongo ni kukaribisha mi yeast infection....eeeek!!
Huyu demu wa kwanza kulia alivyovaa hivyo na joto la bongo ni kukaribisha mi yeast infection....eeeek!!
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,103 Reaction score 136,762 Dec 27, 2008 #4 Bimkubwa said: Hivi kweli Kristo alizaliwa mioyoni mwao??ππ± Click to expand... Inawezekana wenzio sio hata Wakristo.....
Bimkubwa said: Hivi kweli Kristo alizaliwa mioyoni mwao??ππ± Click to expand... Inawezekana wenzio sio hata Wakristo.....
Kibunango Platinum Member Joined Aug 29, 2006 Posts 8,531 Reaction score 2,490 Dec 27, 2008 #5 babuji said: Click to expand... Kikuku.....π
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,103 Reaction score 136,762 Dec 27, 2008 #6 Kibunango said: Kikuku.....π Click to expand... kikuku ndo nini?
Kibunango Platinum Member Joined Aug 29, 2006 Posts 8,531 Reaction score 2,490 Dec 27, 2008 #7 Nyani Ngabu said: kikuku ndo nini? Click to expand... Kuna bandiko kuhusu vikuku na wanawake wa Bongo hapa ukimaliza kuisoma hiyo thread then utafahamu kikuku ni nini
Nyani Ngabu said: kikuku ndo nini? Click to expand... Kuna bandiko kuhusu vikuku na wanawake wa Bongo hapa ukimaliza kuisoma hiyo thread then utafahamu kikuku ni nini
J Jujuman JF-Expert Member Joined Dec 7, 2008 Posts 248 Reaction score 33 Dec 28, 2008 #8 Safi mkuu kwa kutuaptodet tulioko mbali na nyumbani. HERI ZA MWAKA MPYA ALL JF members na Washabiki wake.
Safi mkuu kwa kutuaptodet tulioko mbali na nyumbani. HERI ZA MWAKA MPYA ALL JF members na Washabiki wake.
N Ndele Member Joined Dec 27, 2008 Posts 82 Reaction score 11 Dec 28, 2008 #9 Kwa hakika Dunia ipo pabaya! yaani tunashindwa hata kujua tunatakiwa kufanya nini siku ya xmass?
Yo Yo JF-Expert Member Joined May 31, 2008 Posts 11,210 Reaction score 1,738 Dec 28, 2008 #10 Bimkubwa said: Hivi kweli Kristo alizaliwa mioyoni mwao??ππ± Click to expand... Angh wewe banjuka tu....weka shida chini inua mikono juu...napenda sana our dadaz wamenipa faraja ya macho maana haikuwa na maana kutafuta angle of inclination wala mawani aagh Big up our dadazi kwa vivazi....
Bimkubwa said: Hivi kweli Kristo alizaliwa mioyoni mwao??ππ± Click to expand... Angh wewe banjuka tu....weka shida chini inua mikono juu...napenda sana our dadaz wamenipa faraja ya macho maana haikuwa na maana kutafuta angle of inclination wala mawani aagh Big up our dadazi kwa vivazi....
M Mtarajiwa JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 440 Reaction score 11 Dec 29, 2008 #11 Bimkubwa said: Hivi kweli Kristo alizaliwa mioyoni mwao??ππ± Click to expand... Bimkubwa wewe ulitaka waonekane wenye huzunihuzuni,wavae magauni marefu,wakeshe kanisani siku nzima nk ndiyo uone kuwa kristo kazaliwa mioyoni mwao?
Bimkubwa said: Hivi kweli Kristo alizaliwa mioyoni mwao??ππ± Click to expand... Bimkubwa wewe ulitaka waonekane wenye huzunihuzuni,wavae magauni marefu,wakeshe kanisani siku nzima nk ndiyo uone kuwa kristo kazaliwa mioyoni mwao?
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,769 Reaction score 288,283 Jan 1, 2009 #12 Kibunango said: Kikuku.....π Click to expand... Na kibata pia...LOL! I am just having fun π