kwa picha za kukimbia still nokia 808 na lumia 1020 hazina mpinzani sababu zina flash za xenon ambazo husimamisha movement.
angalia hio picha juu ni flash ya kawaida na chini ni xenon, hata feni likizunguka xenon flash ina uwezo wa kulisimamisha na kuona details za upanga wa feni