mbovu compare na kina samsung, lg etc ila ni nzuri compare na tecno, itel etc. kama camera unaijali sana tafuta galaxy j7 ya 2016Mkuu Chief-Mkwawa sijakuelewa, hayo uliyoeleza ndo mapungufu ya xiaomi redm 3? Camera mbovu? Siwataki tena
Chief-Mkwawa, unaizungumziaje Galaxy J5 ya 2016 kuanzia ubora wa betri, performance yake, na mambo mengine.mbovu compare na kina samsung, lg etc ila ni nzuri compare na tecno, itel etc. kama camera unaijali sana tafuta galaxy j7 ya 2016
mkuu narecomend zaidi j7 2016 sababu soc yake wamei upgrade hadi snapdragon 617Chief-Mkwawa, unaizungumziaje Galaxy J5 ya 2016 kuanzia ubora wa betri, performance yake, na mambo mengine.
Asante sana Kiongozi.mkuu narecomend zaidi j7 2016 sababu soc yake wamei upgrade hadi snapdragon 617
j5 2016 ni simu nzuri ila soc yake snapdragon 410 ni ya muda kidogo hawajaiupgrade kwenye j5 2016. kama matumizi yako ni madogo haina neno ila kama unatumia vitu vingi utafeel speed sio kubwa sana.
mambo mengine kama camera, battery, display (super amoled), ram, storage yapo vizuri zana.
Chief-Mkwawa unaionaje na Microsoft Lumia 650 maana posta wanakaza kwa laki tanomkuu narecomend zaidi j7 2016 sababu soc yake wamei upgrade hadi snapdragon 617
j5 2016 ni simu nzuri ila soc yake snapdragon 410 ni ya muda kidogo hawajaiupgrade kwenye j5 2016. kama matumizi yako ni madogo haina neno ila kama unatumia vitu vingi utafeel speed sio kubwa sana.
mambo mengine kama camera, battery, display (super amoled), ram, storage yapo vizuri zana.
mkuu mi siwezi toa laki 5 kununua simu yenye snapdragon 210. kwa lumia zilivyoshuka bei budget hio ni bora ukomae utafute flagship za nyuma kama lumia 930, 1520 au ukikosa kabisa hata lumia 830.Chief-Mkwawa unaionaje na Microsoft Lumia 650 maana posta wanakaza kwa laki tano
Vipi mkuu unaizungumziaje Galaxy A3?mkuu mi siwezi toa laki 5 kununua simu yenye snapdragon 210. kwa lumia zilivyoshuka bei budget hio ni bora ukomae utafute flagship za nyuma kama lumia 930, 1520 au ukikosa kabisa hata lumia 830.
Nasikia hii kampuni ndio inafanya vyema china kuliko hata samsung na apple kwenye smart phone. Nimeipenda hiyo angalizo namba 5Mkuu xiaomi simu zao zote ni rahisi hata ikiwa na snapdragon, version za mediatek ni za china nje ya china wanatumia snapdragon, muda si mrefu watatoa version ya snapdragon kwa hio redmi note 4.
Kuhusu quality yao ni nzuri kushinda Tecno, ukimtoa Huawei ambae tumemzoea xiomi, meizu na oppo wanajitahidi sana kutengeneza vifaa vizuri na material wanayotumia ya quality ya juu, sema tu wanazidiwa uwezo na experience na makampuni makubwa
Mfano xiaomi redmi note 3 (ambayo mimi kwa muono wangu ndio simu bora zaidi duniani ukiangalia kwa unacholipa na unachopata) ina mapungufu haya
1. camera mbaya
2. battery inakaa sana na charge lakini wanatumia battery kubwa sana (hakuna optimization). kuanzia 4000mah kupanda
3. user interface unaweza usiipende (miui) ila unaweza kuibadili na mods mbali mbali
4. baadhi ya vifaa vinatia mashaka, mfano simu zao haziji na gorilla glass, vioo vyao sijui wamevitolea wapi
5. kuibiwa data zako na serikali ya china
hivyo kiufupi ni simu nzuri na kama unatoa dola 150 (bei ya redmi note 3) na unapata simu yenye nguvu kushinda flagship za mwaka jana huwezi lalamika sana.
unaifananishaje na Tecno C9 ipi ipo juu kwenye camera, ila naona wengine wote hawafikii uwezo wa Sumsung na Iphone kwenye camera hasa kupiga picha za haraka. mfano unapiga picha wanaliadha au mbio za magarimbovu compare na kina samsung, lg etc ila ni nzuri compare na tecno, itel etc. kama camera unaijali sana tafuta galaxy j7 ya 2016
Mkuu xiaomi simu zao zote ni rahisi hata ikiwa na snapdragon, version za mediatek ni za china nje ya china wanatumia snapdragon, muda si mrefu watatoa version ya snapdragon kwa hio redmi note 4.
Kuhusu quality yao ni nzuri kushinda Tecno, ukimtoa Huawei ambae tumemzoea xiomi, meizu na oppo wanajitahidi sana kutengeneza vifaa vizuri na material wanayotumia ya quality ya juu, sema tu wanazidiwa uwezo na experience na makampuni makubwa
Mfano xiaomi redmi note 3 (ambayo mimi kwa muono wangu ndio simu bora zaidi duniani ukiangalia kwa unacholipa na unachopata) ina mapungufu haya
1. camera mbaya
2. battery inakaa sana na charge lakini wanatumia battery kubwa sana (hakuna optimization). kuanzia 4000mah kupanda
3. user interface unaweza usiipende (miui) ila unaweza kuibadili na mods mbali mbali
4. baadhi ya vifaa vinatia mashaka, mfano simu zao haziji na gorilla glass, vioo vyao sijui wamevitolea wapi
5. kuibiwa data zako na serikali ya china
hivyo kiufupi ni simu nzuri na kama unatoa dola 150 (bei ya redmi note 3) na unapata simu yenye nguvu kushinda flagship za mwaka jana huwezi lalamika sana.
Gotch you....ndio kasimu unakotumia kumbe!!hongera mkuu!!A series nzuri ila jitahidi utumie walau A5 maana A3 upo mbaliii saana!naajua ukifka A5 mwaka utajikongoja kufika A9Vipi mkuu unaizungumziaje Galaxy A3?
Asante.
Vipi mkuu unaizungumziaje Galaxy A3?
Asante.
kwa picha za kukimbia still nokia 808 na lumia 1020 hazina mpinzani sababu zina flash za xenon ambazo husimamisha movement.unaifananishaje na Tecno C9 ipi ipo juu kwenye camera, ila naona wengine wote hawafikii uwezo wa Sumsung na Iphone kwenye camera hasa kupiga picha za haraka. mfano unapiga picha wanaliadha au mbio za magari
sio simu tu jamaa wana tv, laptop, smart band, baiskeli na vitu kibao. baiskeli zao nzuri sana unakunja tu na tv zao kioo kipo kivyake na port pamoja na spika vipo kivyake, niliipenda sana hii idea.Nasikia hii kampuni ndio inafanya vyema china kuliko hata samsung na apple kwenye smart phone. Nimeipenda hiyo angalizo namba 5
hii nimeikubalikwa picha za kukimbia still nokia 808 na lumia 1020 hazina mpinzani sababu zina flash za xenon ambazo husimamisha movement.
angalia hio picha juu ni flash ya kawaida na chini ni xenon, hata feni likizunguka xenon flash ina uwezo wa kulisimamisha na kuona details za upanga wa feni