Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,629
- 5,262
Hizi simu zinakuja kwa OrderNaomba kwa yeyote yule ambaye anauza simu tajwa hapo juu ikiwa mpya kabisa aniuzie .Hapa nazungumzia simu ambayo iko kwenye box kabisa nahaijatumika ata kidogo
madini kwa vipoXiaomi ni madini kaka so huwezi kuisotea online then uitoe kirahisi kivile.
Jamaa amcheck Mwl.RCT amuagizie maana huku hata kama akijitokeza wa kumuuzia bei itakuwa juu
Ni simu za Kichina zenye ubora zinazouzwa bei nafuumadini kwa vipo
Cost zake vipi mkuuHizi simu zinakuja kwa Order
Tafuta kwenye huu ukurasa: Find Quality Wholesalers, Suppliers, Manufacturers, Buyers and Products from Our Award-Winning International Trade Site. Wholesale Products from China Wholesalers at Aliexpress.com.
Kisha futa taratibu za malipo hapa: www.bit.ly/101buy4m4
Kwa ushauri kwa sasa unge chukua hii: Xiaomi Redmi 4X pro prime 4GB RAM 64GB ROM Fingerprint ID
AU
Hii Xiaomi Redmi Note 4X 3GB 16GB
Karibu
Whatsapp: 0784 496 856
Xiaomi Redmi 4X pro prime 4GB RAM 64GB ROM - TZS 485,027.2Cost zake vipi mkuu
Mkuu xiaomi redmi note 4 64 GB 4 GB ramXiaomi Redmi 4X pro prime 4GB RAM 64GB ROM - TZS 485,027.2
Xiaomi Redmi Note 4X 3GB 16GB - TZS 396,078.8
Hiyo 4X pro hiyo bei ndo mpaka naitia mkononi au kuna gharama nyingine tena,na kama zipo zinaweza fika kiasi gani!!?Xiaomi Redmi 4X pro prime 4GB RAM 64GB ROM - TZS 485,027.2
Xiaomi Redmi Note 4X 3GB 16GB - TZS 396,078.8
kuna hii xiaomi redmi 5 imetoka December mwaka Jana lakini saiv imeshaanza kuuzwa kwa ushauri mngechukua hii ni simu nzuri na pia muonekano unavutiaDuuuh simu nyingine nzuri ni zipi?
Dah! lazima niichukue redmin 4x pro kabla ya mwez wa 6
Mkuu umeishitia mkononi?kuna hii xiaomi redmi 5 imetoka December mwaka Jana lakini saiv imeshaanza kuuzwa kwa ushauri mngechukua hii ni simu nzuri na pia muonekano unavutia
Mkuu nitafute nikupe xiaomi redmi note 4 inaHiyo 4X pro hiyo bei ndo mpaka naitia mkononi au kuna gharama nyingine tena,na kama zipo zinaweza fika kiasi gani!!?
Pia inachukua muda gani mpaka bidhaa kunifikia
Mkuu nitafute nikupe xiaomi redmi note 4 ina
Ram 4gb
Storage 64gb
Fingerprint
Display 5.5"
Rangi nyeusi metallic
Kwa 400000/- tu
Ndo ninayotumia Nikuachie