Mtu mbalimbali
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,126
- 2,306
Kama mdau alivyokujibu hii sio simu ya Xiaomi, imeandikwa tu mi 11 ultra. Hapo unapigwa mchana kweupe.habari zenu wakuu
naomba kuuliza kwa wajuzi wa online martkets
ninataka kuagiza xiaomi mi 11 ultra (133$) kupitia AliExpress hivo unaomba kufahamishwa ubora wa bidhaa zao pamoja na uaminifu na accuracy ya uwasilishaji wa bidhaa zao hapa Tanzania
karibuni wakuu kwa msaada
picha [emoji116]View attachment 1860791
Umefanya vema kuuliza. Kama wengine walivyosema, hakuna MI 11 Ultra ya bei hiyo. Simu halisi ya hivi inacheza hadi milioni mbili kwa sasa kama sikosei. Siku hizi usipate shida. Ingia tovuti ya kampuni husika, kula shule kwanza huko ya bidhaa zao. Mfano kwa hawa jamaa, ingia hapa uzione simu zao. Xiaomi Global丨Official Website丨Mi.com - Mi Global Home , Ikifunguka, ingia mi phones. Tafuta model yako uielewe kisha ndo uwasikilize matapeli mtandaoni.habari zenu wakuu