Bei gn mkuuThanks guys, done, waiting for my phone now, i went for the a1
Umechukulia bei gani tuambizaneThanks guys, done, waiting for my phone now, i went for the a1
Unapata kwa laki 4 tu..pitia aliexpres zipo kibaoBei gn mkuu
200$Bei gn mkuu
200$Umechukulia bei gani tuambizane
VP ukilinganisha na 4xMI A1 ina uwezo na ni nzuri sana inatumia flagship camera. Lakini pia kwa muonekano ni nzuri mnoo, ila bei yake ipo juu kidogo ukicompare na note 4. Ina muonekano kama iPhone 7.![]()
![]()
![]()
![]()
Ishafika mkuu?200$
Sijaoda mwenyewe, someone will bring it, atanunua huko huko njeIshafika mkuu?