Xiaomi 14 na Xiaomi 14 Pro: Mchina anaendelea kuleta competition

Nimeona mojawapo muda si mrefu. Ni kamuvi kafupi. Ukiangalia inaweza sema imerekodiwa na expensive camera kumbe ni Xiaomi 14 Ultra.
Xiaomi wamepost full movie kwenye account yao ya YouTube
Ni katika mkakati wa kuitanua Brand yake zaidi hasa kwenye hii industry, cha ajabu utashangaa wengine wanaiga
 
Apple wako nyuma inapokuja suala la features mpya kwenye simu. Kila mwaka wakiongeza features tatu au nne imeisha hiyo
Apple wanakuwa wa mwisho kwenye kuadapt features mpya ila wanapokuja na hizo features wanazifanya ziwe bora 10 times. Mfano anagalia Face ID imekuja around 2018 wakati android ipo muda mrefu, sasa linganisha efficiency yake.
 
s24 itakayo achiwa izo iphone watatupa
Moja ya sababu inawafanya iphone users kuendelea kununua iphones ni ecosystem( kumbuka hapa simaanishi hawa wanaonunua iphone for showoffs). Ukiwa na Macbook, iphone na buds ni vigumu kuacha kununua iphone. Hizo device zinafanya kazi pamoja kwa ufanisi zaidi. Tofauti na simu kama samsung unahitaji mara google services, mara window plus samsungs wakati for iphone yoh just need the apple ID
 
Apple wanakuwa wa mwisho kwenye kuadapt features mpya ila wanapokuja na hizo features wanazifanya ziwe bora 10 times. Mfano anagalia Face ID imekuja around 2018 wakati android ipo muda mrefu, sasa linganisha efficiency yake.
10 times better???? Ooh Really
Apple ameleta Face ID akaondoa Fingerprint scanner. Sasahivi Android zipo na Under Display Fingerprint scanner. Unadhani Face ID ni secure kufikia fingerprint scanners? Kilichofanya Apple a improve hiyo Face ID ni kwa sababu aliondoa fingerprint scanner na simu za Android zina fingerprint scanner ambayo ni 10 times better than your average Face ID
Apple kwenye new features bado sana
 
Xiaomi 14 tayari imefika Bongo ?! Bei gani Mkuu ?
 
Moja ya sababu inawafanya iphone users kuendelea kununua iphones ni ecosystem( kumbuka hapa simaanishi hawa wanaonunua iphone for showoffs). Ukiwa na Macbook, iphone na buds ni vigumu kuacha kununua iphone. Hizo device zinafanya kazi pamoja kwa ufanisi zaidi. Tofauti na simu kama samsung unahitaji mara google services, mara window plus samsungs wakati for iphone yoh just need the apple ID
Kama kawaida yao Apple, wanamfunga mtumiaji kwenye products zao kijanja sana na watumiaji hawaelewi hili wao wanachukulia kama advantage tu
Ukiwa na iPhone itakulazimu hata laptop utumie MacBook ambazo zinatumia MacOS. MacOS iko nyuma sana kwenye flexibility kuliko Windows
Xiaomi phone+ Vivo earbuds+ Samsung tablet+ Google Pixel watch+ DELL laptop ni better combination kuliko iPhone+ Apple's earbuds+ iPad+ Apple watch+ MacBook kwa sababu ni more flexible than Apple's ecosystem
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom