JuaKali
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 776
- 119
Wamarekani ndo wenye pesa, ukibeba mabox siku tatu tayari una uwezo wa kununua Xbox na huyo ni mtu wa chini kabisa.mkuu YoungMaster, kaa mbali na Xbox One for the time being mpaka tuone vp vp maana kuna rumors za always online (huwezi cheza bila kuwa online) na ya kutisha zaidi ni kwamba labda tofauti na nchi 21 ambazo Xbox One itakuwa launched itakuwa unsupported for other places. PS4 naona ndo itakuwa my next console. hata hivyo soko kubwa ya Xbox huwa ni marekani