xbox 360 na play station 3

xbox 360 na play station 3

juan david

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2013
Posts
3,976
Reaction score
5,466
jaman nilikuwa nataks ninunue moja yapo kat ya hz mbili je bei zao zikoje na ipi ni nzuri
 
nunua Xbox 360. sababu zangu ni kuwa, 1. ni rahisi kumodify ili upate games za bei chee. 2. nina mpango wa kuwashawishi akina NingaR, Young Master, CHIEF MKWAWA na C6 na wengine wengi wanunue pia Xbox, so support itakuwa kwa wingi. 3. nitakuwa na mtu wa kumuuzia games :heh: (buku kumi na tano tu kila game)
 
Last edited by a moderator:

siku nikinunua game kutoka kwako nazimia kwanza kisha nikiamka nakufa, ntakuwa nakuja na dvd kuburn tu, undugu kufaana ndugu yangu leh

ivi bado kuna CHIEF MKWAWA na chief-mkwawa?
 
Ha ha haaa!!! Haya bwana.
 
hahahaaaaaaaa!! sawa Wakala Wa Microsoft
 
Last edited by a moderator:
nunua Xbox 360. sababu zangu ni kuwa, 1. ni rahisi kumodify ili upate games za bei chee. 2. nina mpango wa kuwashawishi akina NingaR, Young Master, CHIEF MKWAWA na C6 na wengine wengi wanunue pia Xbox, so support itakuwa kwa wingi. 3. nitakuwa na mtu wa kumuuzia games :heh: (buku kumi na tano tu kila game)

bei zao zikoje
 
Na ungana na wewe mkuu 360 kwa sasa Ki Tanzania ndio inatufaa,
 
siku nikinunua game kutoka kwako nazimia kwanza kisha nikiamka nakufa, ntakuwa nakuja na dvd kuburn tu, undugu kufaana ndugu yangu leh

ivi bado kuna CHIEF MKWAWA na chief-mkwawa?

kaka, siwezi kukuuzia game. mi na wewe ndugu wa damu damu. si ndo maana nakupa yule mdogo wangu, na yule mwingine nampa Young Master. wewe na wadau wote niliotaja hapo juu hata dvd wasije nazo. ila watu wengine wote bila kumi na tano hakieleweki. na nilikuwa namtaja chief-mkwawa na wala sio CHIEF MKWAWA

hebu fikiria braza, bila wewe na chief-mkwawa, ningekuwa nimetokwa na hela ya kufa mtu ni Voda. na NingaR na Young Master ndo wananifanya nijue games za kutafuta.

na bado kuna wengine pia siwezi wauzia game ila sikuwataja maana sidhani wanacheza haya makitu. naongelea braza Kang, Invisible na Nyasiro. na nisimsahau yule binti Preta :tonguez:

hiyo bei ni ya watu nisiowajua, either hapa JF au kitaani. as for you guys niliowataja, sijui mnasubiri nini, hebu vuteni hiyo console ya Bill Gates
 
Last edited by a moderator:
inafaa, tena sana Young Master, ila hiyo hapo sio modded. yaani itacheza original games tu. kufanya icheze game za nyumbani inahitaji kufanyiwa kazi. kuna LT3 na JTAG. LT3 ni unachomoa disk drive yake na kuiflash kwa PC. baada ya hapo unaburn DVD DLs (za 8GB). JTAG ni unafunga chip ndani ya motherboard yake na baada ya hapo unaweka game kwa HDD yake. JTAG ndo bora zaidi ila ni ngumu sana. mi naweza kuflash ila JTAG sigusi. ndo maana nikakushauri utafute used JTAG'd maana sidhani kuna mtu bongo anaweza
 
Shukrani mkuu kwa maelezo yako. Ngoja nijipange halafu niuvute huo mzigo.
 
Back
Top Bottom