Dingswayo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 4,019
- 2,932

Nauza Xbox 360 yenye cables zake zote pamoja na cd za michezo zifuatazo hapa chini:
- Bad Company (rated 16+)
- Counter Strike (R16+)
- Call Duty; Modern Warfare 2 (R 18)
- Tom Clancy's Hawx (R 12+)
- Operation Flashpoint: Dragon Rising (R 18)
- Brothers in Arms:Hell's Highway (R 18+)
- Battlefield: Bad Company 2 (R 16)
- Indiana Jones (R 12)
- Kungfu Panda (R 12)
Naweza kukupatia pia michezo unayoipenda zaidi ya hiyo niliyoweka hapo juu.
Kama unahitaji nitumie PM huko tutaelewana bei.