X wangu anataka turudiane

X wangu anataka turudiane

Melancholic

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
3,543
Reaction score
6,491
Wakuu niliwahi kutoa kisa changu humu nilikutana na kitoto cha 2003 kizuri sana . Shida ikaja kwamba kanapenda hela sana pia hana adabu.

Yani kifupi ni chuma ulete na stori yake niliwahi ileta humu ephen_ Half american Balqior na wengineo nashukuru mlinishauri sana kuhusu kumuacha huyo mdada nikashindwa mwisho wa siku aliniacha yeye baada ya kuniomba 100k nikamwambia nitakupa next week bac akaniambia nifute namba yake na matusi kibao yakamtoka.

Hiyo ilikuwa mwez wa tatu mwishoni bac tukaachana mwezi wa 6 nashangaa ananitafuta na kunibembeleza sana kwamba anaomba turudiane nikakataa ila siku siku zinavyozidi kwenda bado ananisumbua so nimeshindwa kujua kilichomrudisha kwangu ni nini hapa nimebaki na maswali vp wenzangu huwa mnakaribiana vp na hii hali?? Na lengo lake hasa ni nini maana kipindi anataka kuniacha alikuwa na kiburi sana na dharau pia muda wote alikuwa online nashangaa saiv kawa mpole sana mpaka namshangaa.

Naweka hapa txt zake za nyuma muone tabia alizokuwa nazo huyu binti.
 
Screenshot_20250217-174836_1.jpg
 
Back
Top Bottom