X wangu anataka turudiane

Simbamteme

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
784
2,063
Kuna tatizo linansumbua sana..Ex wangu ambae tuliachana nae kama mwaka hivi umepita, amerudi kwa kasi kuniomba turudiane..juzi usiku wakati nipo na girlfriend wangu,alinitumia meseji, kwa bahati mbaya simu alikuwa nayo yeye,akaisoma meseji..

ulizuka mtiti wa kufa mtu,mpaka sasa hanielewi..naombeni ushauri wenu jaman,nimfanyeje huyu mtu na nshamwambia laivu kuwa cpo tayari kuwa naye?
 
Hujasema mliachana vipi na huyo x - wako. Lakini cha msingi ni kuwa na msimamo, angalia uliko na uliko toka kama una amani na unaona unapata zaidi kuliko ulikokuwa kabla huna haja ya kuendeleza mawasiliano na huyo x-wako.
 
Ukiona wa nini wenzio wanajiuliza watampata lini... Anataka akugomabanishe tu na gf wako mpya, achana nae aliona wa nini walioona thamani yake wakachukua....atajibeba
 
mkuu usipate tabu. weka nae appointment, then akija ingia naye ndani ukifika huko 'mle kiboga' atajua kwamba kweli huna muda nae. hao ndo wale wasiojua kuachwa na wanaume, wajinga sana sometime hao
 
kama vp mwambie x wako mpya 'amtapikie' maneno yao ya kike kike atajua huna mpango naye na unamaanisha hilo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom