Habari za wakati huu wana jamvi.. kuna mwanamke nilisha wahi kudate nae na tukaachana miaka 7 ilopita kisa hakieleweki hadi sasa.. ila chakushangaza anatabia ya kunitumia picha zake naombeni kujua huyu dem anajilengesha au hajielewi..
Wataalamu wamambo na wasubiria hapa
mjukuu wangu hivi mtu akisema.wanaume wapite mbele na weww utapita?Habari za wakati huu wana jamvi.. kuna mwanamke nilisha wahi kudate nae na tukaachana miaka 7 ilopita kisa hakieleweki hadi sasa.. ila chakushangaza anatabia ya kunitumia picha zake naombeni kujua huyu dem anajilengesha au hajielewi..
Wataalamu wamambo na wasubiria hapa
Nikiiona tu picha yake/zake nitajua analengo gani!Habari za wakati huu wana jamvi.. kuna mwanamke nilisha wahi kudate nae na tukaachana miaka 7 ilopita kisa hakieleweki hadi sasa.. ila chakushangaza anatabia ya kunitumia picha zake naombeni kujua huyu dem anajilengesha au hajielewi..
Wataalamu wamambo na wasubiria hapa