pastor muyamba
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 252
- 135
- Thread starter
- #21
OK I'm sory,boss mchepuko wanguIla pastor maelezo yako hayaeleweki/hayanyooki. Mimba 2 zimetoka, Halafu unamuuliza vipi mimba IPO? Hilo si swali LA kuuliza. Mimba huwa haifichwi. Kama anayo angekwambia. Na kutokana na historia mbaya ya kutoka kwa mimba, possibly unapomuuliza uliza unamuumiza kifikra. Swali la msingi kwako: unaelewa maana ya X? (naomba usichukizwe na swali langu)

