X wako akifanya ivi ana maanisha nini?

X wako akifanya ivi ana maanisha nini?

queenlishas

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2014
Posts
288
Reaction score
76
Habari wandugu..
Kuna swali nimeulizwa na rafiki yangu kipenzi nkakosa la kumjibu ila nikamuahidi ntawakilisha kwa wana jamvi yaweza patikana majibu...ninaomba tusaidiane mawazo etiii....
Unapotengana na mtu aliekua mpenz wako na baada ya miezi kadhaa anaanza kukutumia clip za porn au picha za watu wakiwa bila nguo kwenye pozi tata anakua na maana gani?
 
Hahaha. Utoto raha. I dont regret growing up even if it means i gotta grow old.
 
Kama hakuridhika na kutengana kwenu, pengine utakuta kukutamanisha ili mrudiane na mara nyingi utakuta anajua kabisa bado hujapata mtu kwa sasa.
 
Anataka kukuharibia na mpenzi uliyenaye kwa sasa,akiziona hizo sms tu kwisha!!
 
kwanza sipendi mtu yeyote kuniita ex wala mimi kamwe siwezi kumwita ex, nikishawalk away it means I reach the point of no return.

sipendi kabisa haya majina ya ex.
 
Habari wandugu..
Kuna swali nimeulizwa na rafiki yangu kipenzi nkakosa la kumjibu ila nikamuahidi ntawakilisha kwa wana jamvi yaweza patikana majibu...ninaomba tusaidiane mawazo etiii....
Unapotengana na mtu aliekua mpenz wako na baada ya miezi kadhaa anaanza kukutumia clip za porn au picha za watu wakiwa bila nguo kwenye pozi tata anakua na maana gani?

Anamaanisha umripoti mamalaka ya mawasiliano kenya! huhuhuuuu!

Kwani hajawahi kukutia moyo? hahahahaaaa!

picha za ngono zinapunguza nguvu za mitiano ya moyo jamani!
 
mankaa! mambo vipi mtoto mzuri!

unajisikiaje ukiona mapicha ya ma x halafu uko peke yako?

huhuhuuuu! nijibu kwa PM mrembo!

kama nilichana naye nikiwa bado nina chembechembe zakumpenda naweza kumfikiria lakini kama hata taswira yake nimeisahau thubutuuuuu nampiga stop
 
mankaa! mambo vipi mtoto mzuri!

unajisikiaje ukiona mapicha ya ma x halafu uko peke yako?

huhuhuuuu! nijibu kwa PM mrembo!
Mwambie uyo ex wake aache utoto

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Akili za watoto wa siku izi?!, hata ilo nalo ni swali la kuja kutumalizia buddle zetu!?
 
Anazid kuimarisha na kuvuta idadi ya wafuasi wa shetan kwa kukuongezea dhambi coz mlizokwisafanya hazijatosha
 
Anataka muende Avalon cinema mkaangalie mikanda ya video.
 
Habari wandugu..
Kuna swali nimeulizwa na rafiki yangu kipenzi nkakosa la kumjibu ila nikamuahidi ntawakilisha kwa wana jamvi yaweza patikana majibu...ninaomba tusaidiane mawazo etiii....
Unapotengana na mtu aliekua mpenz wako na baada ya miezi kadhaa anaanza kukutumia clip za porn au picha za watu wakiwa bila nguo kwenye pozi tata anakua na maana gani?
Ni ngumu kujua....
Mwambie rafiki ako ex akituma 1 yeye amtumie 5
Wote watajua maana zake
 
Habari wandugu..
Kuna swali nimeulizwa na rafiki yangu kipenzi nkakosa la kumjibu ila nikamuahidi ntawakilisha kwa wana jamvi yaweza patikana majibu...ninaomba tusaidiane mawazo etiii....
Unapotengana na mtu aliekua mpenz wako na baada ya miezi kadhaa anaanza kukutumia clip za porn au picha za watu wakiwa bila nguo kwenye pozi tata anakua na maana gani?

Anakumbuka fair play yako bado..mapenzi bhana.
 
Anamaanisha umripoti mamalaka ya mawasiliano kenya! huhuhuuuu!

Kwani hajawahi kukutia moyo? hahahahaaaa!

picha za ngono zinapunguza nguvu za mitiano ya moyo jamani!

Mhh! we kiboko yao
 
Akili za watoto wa siku izi?!, hata ilo nalo ni swali la kuja kutumalizia buddle zetu!?

Kakajambaz si lazima uchangie.waweza pita kiroho safi. Kizungu chenyewe ujui eti BUDDLE!! Si useme tu kifurushi..
 
Back
Top Bottom