X-mas v/s Chrismas!

Mchekechoni

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2008
Posts
275
Reaction score
19
Ni kweli kwamba X-mas inahusishwa na mambo ya kipagani (sex orgy), ila Chrismas inahusu kuzaliwa kwa masihi Yesu Kristo. So beware..wanaosherehekea X-mas leo ucku wamebook nyumba za wenyeji, yaani all rooms fully booked. But, wale wa Chrismas watakuwa church kwa saaaana, so get the difference and see which one you celebrate!
 
BOTH ARE THE SAME, PAGANIC, HAihitaji profesa wa dini akufafanulie kwa nini tarehe 25dec haiwezi kuwa siku aliyozaliwa Yesu
 
Halafu tukisema waIslam hatutaki mtusalimie kwa hizo heri za kirisimasi mnatuona wabaya, jee, mnataka kutuingiza kwenye upagani kama mlivyoingizwa nyinyi?
 
non sense!
 
mtihani hapa ni wa fani versus maudhui. merry x-mass and happy new year 2011
 
Sasa wakristo tufike mahali tusome vzur historia ya dini tuhoji na tutafakar tutaupata ukwel, coz me naona kama kuna baadh ya mambo yamepachikwa ktk ukristo kwa ujanjaujanja wa watu flan kwa malengo yao wanayojua wenyewe.
 
kusoma muhimu bro, otherwise unaweza hata kukufuru kwa sababu ya kukosa maarifa. nakuombea Mungu akuongoze unapotafuta maarifa
 
kusoma muhimu bro, otherwise unaweza hata kukufuru kwa sababu ya kukosa maarifa. nakuombea Mungu akuongoze unapotafuta maarifa

Na wewe pia unapaswa kuutafuta ukweli, sababu kwel ndo inaweza kukuweka huru.
 
Mapadre wamesoma kwa ajili yenu...hamtakiwa kabisa kusoma mambo ya roho mtachanganyikiwa...ebo!

There are special people to do so for you, nenda sali, sikiliza askofu..chapa mwendo..fanya kazi toa sadaka ya bwana

Ufalme utakuwa wako kwa kuonyesha utiifu wako viongozi wa kanisa ok...
 
Hii sio sawa kabisa maaskofu, mapadre na wachungaji ni binadam wanaweza kuamua kupotosha maandiko kwa sababu zao binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…