adden JF-Expert Member Dec 27, 2015 7,035 15,573 Aug 3, 2016 #1 Kuendelea kuwa na mawasiliano na Mpenzi wako wa zamani ni sawa na kutembelea muwa kama fimbo, ipo siku utautafuna tu.... Ni mtazamo tu
Kuendelea kuwa na mawasiliano na Mpenzi wako wa zamani ni sawa na kutembelea muwa kama fimbo, ipo siku utautafuna tu.... Ni mtazamo tu
Mustaphagentleman JF-Expert Member Jun 22, 2016 3,953 3,011 Aug 3, 2016 #3 Ni kweli maana atapata Hamu na atakwambia umpe Mkuno ndo mana me nikisha break up na mtu ctaki mawasiliano na mtu
Ni kweli maana atapata Hamu na atakwambia umpe Mkuno ndo mana me nikisha break up na mtu ctaki mawasiliano na mtu
Mkude mjita Member Jan 24, 2015 7 0 Aug 6, 2016 #4 hata nyani akija mjn ipo siku atakumbuka pori lake