X-girlfriend anavuruga ndoa yangu

Unataka kusaidiwa kumpanga mkeo?

Na yeye anamsikiliza ex wako kuliko anavyokusikiliza wewe?

Huoni tatizo kubwa kuliko ex wako hapo?
 
Reactions: mij
Unitumie namba zake tu mimi tutaelewana
 

Mke wangu nimesha mweleza kwamba maneno yake ni uongo mtupu. Nami nimempiga stop hata akikutana naye njiani hata salamu asimpe kwa sababu hamtakii mema. Na nilichoona huyu ex ana wivu kuona mimi na mke wangu tunaishi vizuri, tumehamia kwenye nyumba yetu wakati yeye na bwana wake bado wanahangaika na upangaji na hawana ramani ya kutoboa life!
 
Mkeo anapata wapi muda wa kumsikiliza ex wako, what do they have in common ambacho kinawaunganisha mpaka wanakaa wanapiga story...pengine mkeo bado anatamani kujua maisha yako ya nyuma ndio maana anamsikiliza ex wako

Na anamsikiliza kwa nini, kama umepanga hama mtaa na umuonye mkeo aachane na maisha ya past aangalie mbele, akiishi kwa kuambiwa atapata presha
 
kamfuate mme wake sasaa, wanaume huwa hatushindwani hata katika mambo ka hayo
 
Nakazia

Amwite mbele ya mkeo na amweleze ukweli.
 
Nipe namba yake PM, nimkanye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…