Grand Canyon
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 547
- 1,193
ili kulinda ndoa nilifuta picha zake zoteUna picha ya huyo ex wako?
Hahaha amenYaani unasema unataka uhame nyumba uliyojenga mwenyewe kwa pesa zako kisa vijimaneno vya dear ex, na unakuta ni kabinti flani hivii kimbaumbau hakafiki hata 50 Kgs.! [emoji23]
Niqqah' are you serious.??
Amin, Amin.! Nawaambia, kwa mtindo huu wa maisha, wanaume mtaendelea kuteswa sana na jinsia Ke,
Daaa basi siwezi kukushauri mkuu...nilitaka nimwone kwanza kabla yakutoa ushauriili kulinda ndoa nilifuta picha zake zote
🤣 👆 naunga mkono hojaUna picha ya huyo ex wako?
Nilifuta kila kitu chakeNitumie namba yake PM nijue namna ya kukusaidia[emoji124][emoji124]
Kizuri kula na nduguyo mkuu, niletee namba tu.Nilifuta kila kitu chake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kembambaa ,alafu unakuta kana tunamatiti kama kisigino cha mtoto, kanaongeaaa kama chirikuYaani unasema unataka uhame nyumba uliyojenga mwenyewe kwa pesa zako kisa vijimaneno vya dear ex, na unakuta ni kabinti flani hivii kimbaumbau hakafiki hata 50 Kgs.! [emoji23]
Niqqah' are you serious.??
Amin, Amin.! Nawaambia, kwa mtindo huu wa maisha, wanaume mtaendelea kuteswa sana na jinsia Ke,
Nitafanyia kazi ushauri huu. Asante sanaMchawi sio lazima aroge.Mtafute ,ukiwa wee na mke wako.. Alafu mchane laivu, ukikazia maneno haya
"Kama utaendelea kuchokonoa ndoa yangu ,NITAKUHARIBU SURA".
Yeye kua mwanamke, haimpi sababu za kuhalalisha Ujinga anaokufanyia.
Kwa maana hiyo, Nawewe muishi kama Adui.
Sheria ni ngumu ila ni sheria.
Huyu Ni nataka sitaki.Yaani unasema unataka uhame nyumba uliyojenga mwenyewe kwa pesa zako kisa vijimaneno vya dear ex, na unakuta ni kabinti flani hivii kimbaumbau hakafiki hata 50 Kgs.! 😂
Niqqah' are you serious.??
Amin, Amin.! Nawaambia, kwa mtindo huu wa maisha, wanaume mtaendelea kuteswa sana na jinsia Ke,
huyo ex alijiaminisha jamaa hawezi kumuacha na nionacho jamaa ni mpole hivo anachukulia kama advantage halaf ukiangalia alivyotumika naye huku ndoa kakosa anachotaka ni kumharibia mke wa jamaa ili tu nafas ibaki wazi arudi abembeleze aolewe yeye, mimi bado hawara hajanitoa kwenye ndoa yangu na ukiangalia mimi ndio mke yeye bado ndoa anaitafta kwa hadubini bado sjateterekaMchawi sio lazima aroge.Mtafute ,ukiwa wee na mke wako.. Alafu mchane laivu, ukikazia maneno haya
"Kama utaendelea kuchokonoa ndoa yangu ,NITAKUHARIBU SURA".
Yeye kua mwanamke, haimpi sababu za kuhalalisha Ujinga anaokufanyia.
Kwa maana hiyo, Nawewe muishi kama Adui.
Sheria ni ngumu ila ni sheria.
Tena ni mwenyewe aliyemkimbia mchizi hahahha.huyo ex alijiaminisha jamaa hawezi kumuacha na nionacho jamaa ni mpole hivo anachukulia kama advantage halaf ukiangalia alivyotumika naye huku ndoa kakosa anachotaka ni kumharibia mke wa jamaa ili tu nafas ibaki wazi arudi abembeleze aolewe yeye, mimi bado hawara hajanitoa kwenye ndoa yangu na ukiangalia mimi ndio mke yeye bado ndoa anaitafta kwa hadubini bado sjatetereka