wwe wrestlemania 33 highlists

Haikuwa poa, undertaker kustaafishwa na reigns!! Angestaafishwa na lengend mwezake the likes of John cena ,HHH, au Gorden berg , kama Hbk , ric flair na Austin walivyo staafishwa na malengend wenzao so wat WWE did inafanya tuzidi kumchukia Roman reigns
 
Steve austine nilikua nampenda sana huyu mshikaji, ni mbaya balaa mkuu
 
mieleka ile ni mipango na baadhi ya michezo uwa mshindi anapangwa ili kuendelea kuvutia watazamaji nimefatilia block lesner ile match ilikuwa lazima ashinde maana uyo mwenzake mkataba wake ulikuwa unaisha baada ya iyo event hvyo basi matokeo waliyajua aisee wwe ni mipango tu kampuni ile inafanya biashara
 
May be the Dead man will come back wrestlemania ijayo ili astaafu rasmi, fans bado wanapenda
 
Ah Jamaa alikuwa Bangi sijaonaa nikichaa wa kupigana mziki wake the rock aliupata vizuri

Huyu jamaa alikua mbabe, hakubali kupigwa kirahisi rahisi,,,kama unakumbuka ugomvi wake na Tyson, ila baadae nakumbuka walikua marafiki sana
 
Nmeifuma mieleka now Sibuka Tv
natazama mibashara Rand oton & chriss jericho

niliwamiss ,sijui mechi ya lini hii
maana Tv station zisizo mahususi nazo ni jipu

Sent From my C5 wereva
 
Back
Top Bottom