kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,069
- 4,896
Kwa wapenzi wa wwe hii ni week ya burudani iyo n baada ya urejeo wa Seth Rollins baada ya kuumia na kutokuwepo ulingoni kwa takribani miezi 7 na sasa tunagojea mpambano kati ya Seth Vs Roman katika money in the bank. Ikumbukwe Seth Rollins alipoteza mkanda WWE Heavy Weight kutokana na majeraha ya mguuni aliokubana nayo
Mwanamieleka mwingine anaerejea week hii ni John Cena nae kitambo hakuwepo ulingoni ladha hatimaye itarudi kwenye Wwe
Mwanamieleka mwingine anaerejea week hii ni John Cena nae kitambo hakuwepo ulingoni ladha hatimaye itarudi kwenye Wwe