Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,591
- 17,561
Hii ni nini?
hicho mbona kinaonekana ni kidole labda wewe ndo uli anza kuamini sivyo mkuuHiko ni kidole {dolegumba la mguu} kilichopata majanga ila wabongo kwa sababu tunapenda kupindisha maneno tutataka watu waamini visivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Heshima kitu cha bure mkuu jaribu kuheshimu kabila la watu.
NENDA HospitaliHii ni nini?View attachment 980722
Kapime mimba mkuuNilikuwa nakula zangu muhindi wa kuchoma mpaka nimeutupa
Ngoja kesho kukucheKapime mimba mkuu
Wewe umejiandaaje?!?!