Lekanjobe Kubinika
JF-Expert Member
- Dec 6, 2006
- 3,020
- 577
Source: Yahoo friends
jikaze utakiona tu!Mbona hamna kinachoonekana ndugu?
Mbona hamna kinachoonekana ndugu?
Hiyo ni kali. yaani wengine wanayo macho lakini hawaoni, wengine source ni www.Mwananchi, Jf, naija na kadhalika? Atakuja mwenye source Uswazi, Migulumbaja na hadi tukome ubishi. Haya, wote ni dugu moja. Cha msingi ni kwamba mtafaruku umetokea. Naambiwa kuna mchungaji aliyepigiwa simu inaimba nataka paja, wakati yeye ndio anasali mbele ya waumini. Wakabaki kumshangaa, naye akachanganyikiwa asijue maneno ya kutamka akalazimika kukatisha maombi.