Wrong parking mjini Arusha kero

Wrong parking mjini Arusha kero

RAMATT

Member
Joined
Sep 1, 2017
Posts
16
Reaction score
6
Kweli tunakosea kupaki na tuko tayari kulipa kwa makosa haya, lakini hawa watu wanakuzungusha na mwisho wanapigiana simu uku na Kule.

Swali: Haya ni Mapato kwanini hawa watu wasitembee na EFD machines? Hasa kwa wale ambao wanakuwa tayari kulipa badala ya kupelekwa Yard na kutozwa fine ya wrong parking 50 000 tax na parking ndani ya yard 20 000tzs!!??

Kosa liwe na fine na watembee na machine tumalizane kosa lilipotokea sio kituongezea garama kwa kwenda yard.
 
Parking zenyewe ni za shida. Wamachinga , mama ntilie na wamama wauza mbogamboga wamechukua sehemu zote za maegesho ya magari lakini hawakamatwi.
 
Hakuna namna zaid ya kupark kule uhuru road.. then utembee kwenye shughuli zako zote.. Baadae jion ndo uje utoea uondoke tuu

Ndo tunachokifanya sasa hiv huku Arusha.. Maana hakuna sehem za parking kabisa mjini kati
 
hawa jamaa ni wezi ukikamatwa siku nyingine usiende nao yard nenda nao polisi na fine ya wrong parking ni elfu 30000 unalipia polisi unapewa na risiti
 
Back
Top Bottom