Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,315
- 33,111
Wakuu Wa JF nawaombeni msaada kuhusu keyboard yangu tangu nimeiweka OS Ubuntu Linux keyboard yangu herufi mbili hazifanyi kazi ya kwanza ni (X) nikibonyeza hefuri X inakuja Herufi Ñ na ingine (alama ya kuuliza) nikibonyeza Alama ya kuuliza inakuja herufi X je ndugu zangu wana Je nawaombeni mnisaidie ninatumia kwenye Computer yangu ya Desktop Windows mbili moja Windows XP na moja Ubuntu Linux Asanteni sana