Mnyongeni Mnyonge
JF-Expert Member
- Mar 13, 2015
- 628
- 731
- Thread starter
-
- #41
Akutwalile gwe ndema, [emoji23][emoji23][emoji23]Niletee tu mkuu, nipo hapa Tarime mjini
Nuksi???Mkuu unauhakika??mbona nasikia waarabu hawawapendi madem weusi wakibongo eti kwao ni kama nuksi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nuksi???
Wakati ndio wana soko sababu wana joto kali sana.
Ni moja ya chanzo cha wadada kunyanyasika au kuuliwa huko ni wivu kati ya mama mjengo na dada wa nyumba dhidi ya baba mjengo.
Hivi kumbe mnajoto sana inamaana nyie hamna zile centgrade 36. Ngap cjui mi nlijua joto ni juhudi zenu za msuguano tuu daaah maskin demu wang washamla huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida n kibamia chako , utaweza kumkuna sasa.mana nyapu ji nyapile[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wametigo lazimaBana usinifanyie hivoo[emoji22][emoji22][emoji22] kwanza nasikiaga waarabu hawapendagi madem weusi wa kiafrica[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha.Wazee nlimmisi demu wangu akija tuu ndoa alikuwa arabuni kama msaidizi wanyumbani raha iliyoje kurudi nyumbani.
Akitua tuu ndoa sichelewi msio na madem walioenda nje post yenu inakuja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Pima kwanza marinda kakaWazee nlimmisi demu wangu akija tuu ndoa alikuwa arabuni kama msaidizi wanyumbani raha iliyoje kurudi nyumbani.
Akitua tuu ndoa sichelewi msio na madem walioenda nje post yenu inakuja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mwanzoni nilidhani ni yeye kabadili I'd ila baadae niliona tofautiAvatar ya mke wangu shansarie...
Mmmh babeUmeona eeh nakutakia mema ndugu yangu Mtanzania ndio maana nipo bega kwa bega na wewe, hata kipimo cha 0714 najitolea mimi kumpima.[emoji4][emoji55]