inawezekana ni ya kutengeneza ila nilishawahi kujaribu katika microsoft office word ikatokea picha ya ndege ikikaribia majengo hayo mawili na mwisho ikatokea hiyo alama.
Ila kwa akili ya kawaida nadhani wameitengeneza hiyo picha kama kuna mwenye software za microsoft 2000 kurudi nyuma ajaribu hii kitu