Ushahidi?
Mfungwa high profile kama huyo anawezaje kujiua tena baada ya kujaribu kujiua na kushindikana? kwa kawaida watu wa hivyo huwekwa kwenye ,,watch list” hivyo kwa hali ya kawaida isingewezekana yeye kujiua ukichukulia umaarufu wake na ukubwa wa kesi yenyewe plus alishajaribu kujiua juzi kati, ...
Bado hujanipa ushahidi.
Umetoa speculations zako tu.
Ushahidi tafadhali....
Sina ushahidi, ila haingii akilini mfungwa aliyejaribu kujiuwa akakutwa unconscious halafu aendelee kuachwa bila ya kuwekwa kwenye watch list, hiyo siyo kawaida.
Huyo anajua mengi sana hivyo ilikuwa ni lazima afe, Clinton’s ni paedophilia, hiyo ilikuwa ni kesi Kuben sana.
na mwanamfalme wa uingerezaHuyo wamemuua, kuna bonge la skendo la paedophilia linalohusisha the Clintons & Co. , ilikuwa ni lazima afe, anajua mengi sana!
wamemuua...alikua kuwadi wa vigogo pia akiwemo mwana mfalme wa uingerezaKiukweli kanishangaza. Mautajiri yote hayo. Hii kesi hata angefungwa ipo siku angetoka tu. Ila aisee msongo wa mawazo ni mbaya sana.
Mbona wanasema wamemkuta kajinyonga?wamemuua...alikua kuwadi wa vigogo pia akiwemo mwana mfalme wa uingereza
Prince Andrew. Inasemekana na Ehud Barak alikuwa anakula mademu wanaoandaliwa na Jeffrey. Jamani pesa hizi. Watoto wa maiaka 14,16 wanaliwa na mijibabu kisa pesa. Dah.na mwanamfalme wa uingereza
hapo ndio kwenye mzozo ambapo hata mwanasheria mkuu wa marekani anashangazwa nayoMfungwa high profile kama huyo anawezaje kujiua tena baada ya kujaribu kujiua na kushindikana? kwa kawaida watu wa hivyo huwekwa kwenye ,,watch list” hivyo kwa hali ya kawaida isingewezekana yeye kujiua ukichukulia umaarufu wake na ukubwa wa kesi yenyewe plus alishajaribu kujiua juzi kati, ...
Trump pia anahusishwa kwenye huu msala, sema chain ni kubwa saba, kuna hadi vigogo wa Russia wanahusishwaInaonesha wengi wana amini Clintons wanahusika.
Barr kasema anahitaji uchunguzi maana mtu kama Epstein kujiua kwenye fed care si jambo lq kawqida
Mzimu wake bado unasumbua.Yule bilionea wa Kimarekani aliyekuwa anatuhumiwa na makosa lukuki ya kufanya ngono na wasichana wadogo walio chini ya umri, kajiua akiwa lupango.
R. Kelly akituhumiwa kwa makosa hayo hayo, baadhi ya watu wanalia ubaguzi.
Ni vyema wakamweka Bw. Robert chini ya suicide watch.
Haya sasa. Epstein mzungu huyo....kaona isiwe tabu. Kaona kesi hawezi kushinda. Kaamua kujiua akiwa jela akisubiri kesi yake.
![]()
Jeffrey Epstein, accused sex trafficker, dies by suicide: Officials
Jeffrey Epstein was facing federal sex trafficking charges.www.google.com
Ritual hizo .. lakini SS wanafanya hivyo Ili kuwa na nguvu ya kuwa controlItakuwa ilikuwa Ndagu kula vijitoto ili utajiri uendelee. Maana matajiri wana hela wanaweza pata mwanamke yeyote yule,why wale vijitoto?