Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,252
- 113,645
Watakuja wapenzi wa RK hapa
Ila huyu financier wamemtoa roho ama
Maana kuna watu wanahasira na watu wa hivi
Huyo Bw. Epstein alikuwa hachomoki!
Alikuwa anakabiliwa na mashitaka ya Feds.
Feds wana conviction rate ya zaidi ya 90%.
R. Kelly naye sasa hivi anakabiliwa na mashitaka ya Feds.
So it’s safe to assume that R. Kelly will never ever see the light of day again...
Mkuu Feds ndio FBI wenyewe kama mnavyolitumia huko? Au finance
Kelly hachomoki nilianza kufuatilia zamani sana tangu walipochukua laptop yake ikiwa na image nyingi za watoto wadogo nikamdharau sana
Acha afie jela nae
Fed ni federal government. So yes, FBI ni sehemu ya Feds.
Kwa mfano kwa muktadha huu wa Epstein na R. Kelly....sasa hivi wameshitakiwa na federal government badala ya state government.
Awali, wote hao wawili kesi zao zilikuwa ni za state government [nadhani ilikuwa ni Florida].
Ila, kwa makosa kama hayo ya trafficking ambayo yanavuka mipaka ya states kadhaa, tayari hapo inakuwa ni ishu ya federal government na siyo state governments tena.
Federal government inasifika sana kwa kuwa na conviction rate ya juu kwa sababu huwa wanajihakikishia kuwa wana ushahidi mwingi sana na wa kutosha dhidi yako kabla hawajakufungulia mashitaka.
Kwa hiyo naona Bw. Epstein kaona isiwe tabu. Kuliko kwenda kuozea na kufia kwenye federal penitentiary huko, ni bora afe tu sasa hivi kwa kujiondoa uhai mwenyewe.
Huyo wamemuua, kuna bonge la skendo la paedophilia linalohusisha the Clintons & Co. , ilikuwa ni lazima afe, anajua mengi sana!
Kuna hata hints hapa au mkuu unabwabwaja tu...!Huyo wamemuua, kuna bonge la skendo la paedophilia linalohusisha the Clintons & Co. , ilikuwa ni lazima afe, anajua mengi sana!
The Clinton’s machine!
R KELLY YOTE HAYA KASABABISHIWA NA CCM