Mashostito na madadiito jamani anther Friday.
Am in Dodoma right now. Jioni Master Pub kwa sana tu.
Nawamiss woote. isipokua figganigga coz sitaki ugomvi na huyo sijui anajiita Heaven on earth.

Shosti nimefanya nini tena mamiito?
kwanza uko wapi?
Mkirua maisha ni kutafuta dadii. Naingia sehemu zingine hata nework ya simu hakuna. Life is so nice myfriends.Mh.. vivian kwa kupotea na kuzuka.....Karibu tulikumiss mamito!

Mkirua maisha ni kutafuta dadii. Naingia sehemu zingine hata nework ya simu hakuna. Life is so nice myfriends.
Sitaki kuuza sembe natafuta chapaa kihalali wangu. So nikipotea bare with me. ila huwa nawamiss sana jamani tena sana.
Nikirudi Dar Next week nitapenda kukutana na most of you guyz. Nitaweka number zangu za simu hapa coz nawapenda sana
am cool dadii!!! so collected and relaxed, How is your friday my dear?