Would you wash your boyfriend/girlfriend clothes?

Aaah wapi wewe

Enzi zile...wala sijisogezi aisee

Tena akiingia jikoni namwambia chakula chako kitamu.... pika cha kutosha

Kazi pekee ni kupeleka vyombo jikoni...

Vitaoshwa saa ngapi hayanihusu

Ili mradi unaleta tamu, hayo mengine mi wala. Vyombo vyangu ntaosha...tena nitapika msosi mtamu..
Cha msingi ni utamu.
 
Bora umeona

Utamu ndio la msingi.....

Vyombo kitu gani bana....

Halafu kisa cha kumaliza nguvu kwenye kusugua nguo badala ya kuhifadhi kwenye kupeana utamu


Ili mradi unaleta tamu, hayo mengine mi wala. Vyombo vyangu ntaosha...tena nitapika msosi mtamu..
Cha msingi ni utamu.
 
Hahahaa atoto kuna siku nilikufuma unamwaga kidhungu cha rasi simba hadi nikazima....sasa endelea kunizuga hivyo hivyo

Ukiona hivyo ujue kuna ntu alihack ac yangu, mie na kingreza mbalimbali yaani.
 
Last edited by a moderator:
We brenda18 na yule paulo sijui nani nani huko ni ndugu? Maana huu unyanyapaa naona mnao damuni aisee, yaani raha yenu kuona watu tunaumwa vichwa humu ndani au?

oxford dictionary apps unazo version zotee😀😀😀
 
Last edited by a moderator:
Aww,that bikini part sounds good

have you ever tried that...wearing only a thong,an apron and high heels in the kitchen??!! preparing something sooo delicious!!
 
Hehe,tena usiponiomba sitokuja fanya.....sijui lakini maybe you have a charm that makes them do wat they do,can't judge

kwahio unakuja kwangu unanikuta nasafisha nyumba unajitupa kwenye kochi,napika unabadili tv channels tu...wala sikuulizi nakuweka kwenye category fulani tunaenda hivyo hivyo.......
 
Am a very organized lady...so for my first visit to find your place is a mess is a total turn off...
At least pretend to be neat until wen am deeply in love maybe I can tolerate

u'll be turned off by many!!!
 
So I have to wash simply because of the outings you take me to,bday parties and so on....
Really????


Pretty much. Relationship is 2 way. That's among what i bring to the table, what do you bring?


Am a very organized lady...so for my first visit to find your place is a mess is a total turn off...
At least pretend to be neat until wen am deeply in love maybe I can tolerate😊

A mess? That's an overstatement. I said disorganized, and that's from my mum's POV. So i figure, the Missus should get where she's coming from.

I won't have to pretend. By the time you get a pass, you're way too caught-up in the matrix, and i am your Neo. So you gotta stick around.
 
Tatizo letu tunashindwa kuwafikiria Wale ambao wanafanya yote haya kwa upendo, tunawafanya wajione wajinga.

Mtu kajitolea kukufulia kwa upendo akimaliza kampe massage kama shukrani.
kaka unafanzaga hivi au unaongelea ideal situation? maana wazaramo wanasema "those who do not do teach". Nikipata motiveshen ya massage mbona hata jeans nitasugua?
 
u will be surprised here most will say they do that! honestly i dont/wont......whether she washes for me or not its up to her

since you don't mind if she doesn't wash for you, then your stand is justifiable
 
kaka unafanzaga hivi au unaongelea ideal situation? maana wazaramo wanasema "those who do not do teach". Nikipata motiveshen ya massage mbona hata jeans nitasugua?

Nafanya of course, sija fall in love na mfanya kazi , I fell in love with friend who is now my lover.
 

swali lilikua fupi tu lakini Vingreza kibao
 
some girls are funny.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…