Would you marry or date a man who finances everything?

Would you marry or date a man who finances everything?

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Posts
4,324
Reaction score
1,901
Mwanaume cash ,nyumba iwe cash gari cash .heri mpande mabasi kuliko kufinance Vipi.its irresponsible way of living .Kuepuka matatizo ya ndoa kelele use cash .huna pesa panda basi ,kunywa chai na mkate save money.Ujumbe ndio huu wa Leo .
 
Aiseeeeee! Muke ya mzungu at work!
 
.... u typed .. " a men "....

... ♥ ♥ anyway... pesa ndio kila kitu these days....

... pesa = ♡♡♥♥ na ndio Dunia ya sasa..... vinginevyo ni stories tu za kimbulula tu to satisfy their hard way of life......!!!

===★☆ pesa == k♡♥a unapata na penzi hapo hapo.....!!!
 
Jamani mlioelewa naomba mtusaidie kutafsiri maana wengine akili za chocolate.. Kumuelewa natalia hadi tukeshe mwezi mzima
 
[h=2]Would you marry or date a men who finances everything?[/h]
Hapo kwenye red nimeshindwa kuelewa sawasawa aisee

Lugha ya Malkia hiii acha tu wajameni dah................
 
eh!mi kuna saa sikuelewi af kuna saa sikuelewi kabisaaa!

hii kali. kuna saa humuelewi, halafu kuna saa humuelewi kabisaaa! hapo ni afadhali uwe haumuelewi kuliko kuwa humuelewi kabisaaa!
 
hii kali. kuna saa humuelewi, halafu kuna saa humuelewi kabisaaa! hapo ni afadhali uwe haumuelewi kuliko kuwa humuelewi kabisaaa!
yani unafkr uongo!
yani mi kila siku huwa simwelewi na hilo nimeshalikiri siku nying sana!ila kuna siku nyingne hakyamama simwelewi kabisaaa!
 
Would you marry or date a men who finances everything?


Hapo kwenye red nimeshindwa kuelewa sawasawa aisee

Lugha ya Malkia hiii acha tu wajameni dah................
Dena Amsi
huyu ndo nat beibi!
muke ya muzungu
mama wa watoto watatu mmoja njiani
mutoto ya fisadi
shemeji ya richard mziray
mudada ya new york
mjasiriamali wa kukopwa
mutoto ya baba fisadi mama fisadi
mzaliwa wa geneva
kati ya upanga magharibi!
pana chezeya yeye!
 
Last edited by a moderator:
Jamani mlioelewa naomba mtusaidie kutafsiri maana wengine akili za chocolate.. Kumuelewa natalia hadi tukeshe mwezi mzima

ah dogooooo!
yani sa we usipomuelewa nat beibi mi si ndo nna buyu kabisa!
this is nat bana!!teacher wetu wa ukweli!
 
Dena Amsi
huyu ndo nat beibi!
muke ya muzungu
mama wa watoto watatu mmoja njiani
mutoto ya fisadi
shemeji ya richard mziray
mudada ya new york
mjasiriamali wa kukopwa
mutoto ya baba fisadi mama fisadi
mzaliwa wa geneva
kati ya upanga magharibi!
pana chezeya yeye!


Aminia Mama Ake mie hoi hivi umeelewa???
 
Hueleweki kabisaa hata sijui umeandika nn
 
Aaaah hivi ni Mimi Ndo Mwenye akili nzito?au ni mtoa mada amebobea kwenye fani ya kuumiza vichwa Vya watu?Ngoja nimeze Asprin maana kichwa kishaanza kugonga hapa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom