Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,696
- 11,297
Napenda sana kucheza muziki,lakini napenda niwe nacheza na mwanamke,pia mwanamke ninaecheza nae huwa napenda awe huru kama anajiona kachoka kucheza nami huwa huru kuondoka.Tatizo nikicheza nao nasisimka lakini hata siku moja huwa sifikirii kuondoka na msichana hata kama nimemununulia vinywaji au ye amependa niwe naye! Je wenzangu mkiwa baa zipigazo muziki au kwenye maonyesho ya bendi huwa inakuaje?