Wote wanatarajia kuolewa na mimi Nifanyaje?

Wote wanatarajia kuolewa na mimi Nifanyaje?

pattttty

Member
Joined
Aug 12, 2014
Posts
15
Reaction score
16
Ushauri please. Nina mwanamke ambaye kwa sasa ni mjamzito na wanamjua kwetu pia hata mimi kwao najulikana.

Nina miaka nae 6 lakini nina mchepuko wangu wa ukweli nae nina muda nae miaka 4.

Sasa tatizo nashindwa fanya maamuzi ya kuoa wote wanataka kuolewa na mimi.

Na mimi roho yangu kumuacha huyu mchepuko wangu roho inauma. Dah nipo njia panda
 
sasa ushakojolea kule kukajaa ndiyo unaona penye uwazi kuacha hutaki .... acha ufamba wewe mtesaji mnyanyasaji mkubwa wewe mfyuuuu,... wakati unamtia mimba ulikuwa hujui kuwa unamchepuko watu kama ninyi ni wa kunyonga mnatesa watoto na mama zao ... mfyuuu nikusikie tena na ushenzi wako huu... huna haya unataka tukwambie umwache mjamzito uoe mchepuko kkwenda huko huna maana wewe alafu unajiita mwanaume kwenda...

nyie niwakukata vidudu hivyo
 
preeeeeeeee

yellow card

offside........
 
Ushauri plz. Nina mwanamke ambaye kwa sasa ni mjamzito na wanamjua kwetu pia hata mm kwao najulikana. Nina miaka nae 6 lakini nina mchepuko wangu wa ukweli nae nina muda nae miaka 4. Sasa tatizo nashindwa fanya maamuzi ya kuoa wote wanataka kuolewa na mm. Na mm roho yangu kumuacha huyu mchepuko wangu roho inauma. Dah nipo njia panda

Sasa una'chepukaje' wakati hata njia-kuu (ndoa) haupo!?
 
Msingi wa ndoa imara ni upendo, mimba na mengineyo yasikuharibie...

Kama ulimpenda huyo mwenye mimba usingekuwa na huyu wa pili..
 
sasa ushakojolea kule kukajaa ndiyo unaona penye uwazi kuacha hutaki .... acha ufamba wewe mtesaji mnyanyasaji mkubwa wewe mfyuuuu,... wakati unamtia mimba ulikuwa hujui kuwa unamchepuko watu kama ninyi ni wa kunyonga mnatesa watoto na mama zao ... mfyuuu nikusikie tena na ushenzi wako huu... huna haya unataka tukwambie umwache mjamzito uoe mchepuko kkwenda huko huna maana wewe alafu unajiita mwanaume kwenda...

nyie niwakukata vidudu hivyo

Yaani my dear nilishikwa na hasira baada ya kusoma Huu ujumbe. Honestly huyu kaka angekuwa ndugu yangu God knows sijui ningemfanyaje, nilifikiri ni Mimi tuu niliyepatwa na hasira kumbe na wewe pia.

Can you imagine 6 years kwa Wa kwanza plus 4 years kwa pili , my dear this is decade , he has been wasted for these two beautiful ladies time and their humble love . Hata kama hii ni tamaa Jamani imezidi.

Ms. chagga I feel so sorry for these women for their broken heart, because I know at the end someone will get hurt really hurt, Jesus help these women oh God. Thanks.
 
Yaani my dear nilishikwa na hasira baada ya kusoma Huu ujumbe. Honestly huyu kaka angekuwa ndugu yangu God knows sijui ningemfanyaje, nilifikiri ni Mimi tuu niliyepatwa na hasira kumbe na wewe pia. Can you imagine 6 years kwa Wa kwanza plus 4 years kwa pili , my dear this is decade , he has been wasted for these two beautiful ladies time and their humble love . Hata kama hii ni tamaa Jamani imezidi.

Ms . chagga I feel so sorry for these women for their broken heart, because I know at the end someone will get hurt really hurt, Jesus help these women oh God. Jamani kuna Curses nyingine watu wanajitakia, men they dont understanding that every tears your women / woman shades for them it is a curse from God. Thanks.
 
Yaani my dear nilishikwa na hasira baada ya kusoma Huu ujumbe. Honestly huyu kaka angekuwa ndugu yangu God knows sijui ningemfanyaje, nilifikiri ni Mimi tuu niliyepatwa na hasira kumbe na wewe pia. Can you imagine 6 years kwa Wa kwanza plus 4 years kwa pili , my dear this is decade , he has been wasted for these two beautiful ladies. Hata kama hii ni tamaa Jamani imezidi. Ms . chagga I feel so sorry for these women for their broken heart, because I know at the end someone will get hurt really hurt, Jesus help these women oh God. Thanks.
yani mijamaa kama hii ni ya kukata shimgo nyambafu kabisa
 
Msingi wa ndoa imara ni upendo, mimba na mengineyo yasikuharibie...

Kama ulimpenda huyo mwenye mimba usingekuwa na huyu wa pili..

kwa hiyo unataka kumwambia afanye nini ?/ kama alikuwa hampendi kilichokuwa kinamfanya akakojoe kavu kavu alikuwa natoa maji pale? yani wapuuzi kweli ninyi kusimamishia kila shimo mnaona raha... uliambiawa kule ndani kuna swala unrusha mishale yako tu toka huko
 
Kuna wanaume na magumegume! Wewe umeonyesha Uma kuwa Una uwezo wa kutia mimba basi ila sio mwanaume kamili nahisi unaongozwa zaidi na kichwa cha chini sio cha juu! Shameless man!

usihisi mamy anaongozwa na kichwa cha chini mpuuzi huyu
 
aisee wanume weng wapo na hulka ya inzi, maana nzi hata ukimuekea marashi na uchafu (kinyes) basi ataacha marash aendee kinyes. Hivo hvo wanaume, atakua na mkewe au mchumba wake mzur tu lakn kwakua anatabia kama ya nzi bac ataenda tu kutafuta
m/mke mwengne ilimradi tu afanye uchafu, napengne huo mchepuko ni kama uso wa jeshi.
 
Ha ha ha uso wa jeshi ukoje? Ila kiukwel wanaboa sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom