Msabaha lk
Member
- Apr 21, 2012
- 84
- 21
Dr Jakaya Kikwete (mh.) rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema wote waliokopa mkwanja kutoka heslb(bodi ya mikopo) wanapaswa kurudisha ili watoto wengine wa wakulima waendelee kunufaika na mabilioni hayo. Ameyasema hayo alipokuwa chuo kikuu cha kiislam cha morogoro. Pia amedokeza kuwa sirikari imetenga mkwanja mwingine kiasi cha bil 346 kwa ajili ya watanzania 98 elfu watoto wa wakulima. Ovaaa!
Hana jipya huyo kwani mbona
hasemei waliokula MABILIONI YA KIKWETE ambayo zilikuwa ni hela za walipa
kodi,anakuja kuzuga kwa watu wasiokuwa na matatizo,hili hata kama
asingesema watu watalipa coz utaratibu uliwekwa kuwa wahitimu waliokopa
hizo hela wataanza kukatwa/ kurudisha hela hizo baada ya mwaka so yeye
anaingilia nini au ndo anaonyesha ni jinsi gani alipata
udokta???????????
Ile ni haki yangu, siwezi kurudisha.wao kina Kikwete hela walizosomeshewa Chuo Kikuu miaka yao washazilipa??Dr Jakaya Kikwete (mh.) rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema wote waliokopa mkwanja kutoka heslb(bodi ya mikopo) wanapaswa kurudisha ili watoto wengine wa wakulima waendelee kunufaika na mabilioni hayo. Ameyasema hayo alipokuwa chuo kikuu cha kiislam cha morogoro. Pia amedokeza kuwa sirikari imetenga mkwanja mwingine kiasi cha bil 346 kwa ajili ya watanzania 98 elfu watoto wa wakulima. Ovaaa!
Dr Jakaya Kikwete (mh.) rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema wote waliokopa mkwanja kutoka heslb(bodi ya mikopo) wanapaswa kurudisha ili watoto wengine wa wakulima waendelee kunufaika na mabilioni hayo. Ameyasema hayo alipokuwa chuo kikuu cha kiislam cha morogoro. Pia amedokeza kuwa sirikari imetenga mkwanja mwingine kiasi cha bil 346 kwa ajili ya watanzania 98 elfu watoto wa wakulima. Ovaaa!
Anatafuta safari tu hana lolote! Kesho utamsikia yuko Rome kaenda kupiga picha na papa!
dawa ya deni kusepa mazimaDawa ya deni kulipa