Wote waliochaguliwa na tcu wanavigezo vya kupata mikopo ya elimu ya juu

Erny

New Member
Sep 14, 2012
3
0
Habar zenu wana jamvi?Hali ya kiuchum ya watanzania wengi inafanana,hasa ya ya wale angalau walisoma angalau shule moja ya goverment na binafs(private),matajir wa tanzania wanatambulika na wanahesabika kwa hyo weng wetu ni wa kipato cha kawaida.Inaniumiza ninapoona mwenzangu tena wa hali kama yangu na amenizid hata hali ya familia yake amechaguliwa course isiyo ya kipaumbele na amepata mkopo na mi nimechaguliwa pia course isiyo ya kipaumbele pia nimenyimwa mkopo hata kama wameangalia vyet vya kuzaliwa haihitaj elimu ya chuo kikuu kutambua mzaz mmoja aliyeishia darasa la saba na mmoja aliyeajiliwa serikarin kwa kiwango cha diproma inamaanisha familia hiyo ina kipato cha kawaida.HELSB lazma mtambue ada inaweza ikachangishwa ukoo mzima ila siyo ACCOMODATION FEE,STATIONARY Hpo ndipo penye utata kwa mwanafunz aliyenyimwa mkopo,
Hivyo vigezo sirizik navyo kabisa na mnatengeneza wanaokosa kuendelea kuilaum bodi,lazima pia mtambue anauyeomba mkopo si mtoto pekee kwenye familia kwa hyo familia haimuhudumii peke yake,Nashaul ingekua vema tugawane keki ndogo ya taifa sawa,kla mtu angalau apate accomodation tu kwa sababu hali ya watanzania weng inafanana,hamtanipinga wenzangu kwamba kuna wanafunz boom lilelile ndo wanalipia ada sasa waliangalia vigezo gan kwanini wasingempa inavyostahir,
Nina meng sna ila kila ninavyoongea ndo ninapojiumiza, wasitudanganye na vigezo vyao,kama wanasema ,wenye mzaz mmoja,wasio na wazaz,course fran za kupewa mikopo wafanye hvyo,cyo kujifanya wanaangalia hali ya familia
 
Bodi wanakosea kuwanyima Mkopo wanagunzi ni bora accommodation ingekuwa lazima apewe kila aliyeomba mkopo
 
Back
Top Bottom