Wote tunapaswa kujiuliza ni kwanini "scapegoat" hawafunguki?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,706
149,945
Hili ni swali ambalo kila mtu anapaswa kujiuliza!

Najua kuna watu watasema bado mapema sana lakini nawambia subirini tu na msitarajie jipya maana mpaka leo nadhani tungeshasikia japo tetesi za watu fulanj kuhojiwa.

Jibu tutalipata tu namna mambo haya yatakavyoisha.

Najua kuna baadhi hapa hawatanielewa lakini kwa wafuatiliaji wa mambo watajua ni nini concern yangu na sijataka kuwa wazi sana kutokana na sheria mbaya zinazolalamikiwa.
 
Last edited:
Wataendelea kuwa WHIPPING BOYS mpaka watakapoamua wenyewe TO COME OUT, kama kweli ni SCAPEGOATS, ila kukaa kimya mida fulani maana yake umekubaliana na shutuma dhidi yako!
 
Niwazavyo:Kaa kimya, yaishe salama; upangiwe majukumu mengine.
 
Hili ni swali ambalo kila mtu anapaswa kujiuliza!

Najua kuna watu watasema bado mapema sana lakini nawambia subirini tu na msitarajie jipya maana mpaka leo nadhani tungeshasikia japo tetesi za watu fulanj kuhojiwa.

Jibu tutalipata tu namna mambo haya yatakavyoisha.

Najua kuna baadhi hapa hawatanielewa lakini kwa wafuatiliaji wa mambo watajua ni nini concern yangu na sijataka kuwa wazi sana kutokana na sheria mbaya zinazolalamikiwa.
Mnatapatapa sana.
 
Ni vizuri ukaushirikisha ubongo na siyo kukaa na kusubiri utafuniwe
Tuache kuchakata mambo ya msingi kwenye vichwa vyetu tuchakate tetesi zisizo na kichwa wala miguu zinazotolewa na watu wasiojitambua?? Walishindwa kupiga kazi wamebaki kukosea hata yale yanayoonekana kuwa yana maslahi kwa taifa na wananchi.
 
Kwahiyo unatulazimisha tukubali unayo yaamini wewe?hiyo haitakaa itokee
 
Back
Top Bottom